Tarime bwana watu ni Civilized ila sio wanyonge, humble people lakini hawapendi kuonewa au kujishusha shusha bila sababu ya lazima ya kumfanya ajishushe. Yaani mtu akukanyage tuu bahati mbaya alafu akwambie samahani!! Mura murisia huo ni uoga. Neno samahani kwa tarime ni ngumu sana zaidi...