Mbali na suala la mimba za utotoni imebainika pia kwamba changamoto nyingine wanazokumbana nazo watoto wa kike ni pamoja na ukosefu wa taulo pindi wanapokuwa katika siku zao.
Baadhi ya Familia, Koo na Makabila kuendeleza mila ya kutoa kipaumbele kwa Mtoto wa kiume kwenye fursa za maendeleo...