wateule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tuache kuwalaumu wateule wa awamu iliyopita, hali ilikuwa ngumu sana

    Namnukuu mwanajamvi mwenzetu white wizard: "Huo ndio ukweli mtupu!!watu watawalaumu sana, viongozi wengi waliopita, DPP, DCI, TAKUKURU, RC, DC, DED, IGP kwa mambo yaliyofanyika huku wakiwepo, lakini ki ukweli hawakuwa na namna ya kuyazuia, kwani mwendazake ndio alikuwa nyuma yake, labda njia...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya Media kwa Viongozi Wateule Serikalini

    Ndani ya miezi miwili tumeshuhudia viongozi wakubwa wawili toka enzi za awamu ya mwendazake wakikutana na madhila makubwa tu kutokana na tabia yao ya kujikomba/kujipendekeza/kujiparata kwa kiongozi anayehusika na teuzi na mamlaka ya kinidhamu dhidi yao. Hawa ni wafuatao: 1. Lengai ole Sabaya -...
  3. JamiiForums Tanzania Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

    TUliwaambia huko nyuma, huyu Chalamila ni hafai
  4. JamiiForums Tanzania Wateule wa Rais Awamu ya Sita kitanzi shingoni

    Kila kukicha hotuba za Rais SSH kwenye mikutano na dhifa mbalimbali zinaakisi kauli yake Mimi ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kauli hiyo inatuma ujumbe mzito kwa wateule wake kwamba wasithubutu kumdharau kwa kwa sababu ya jinsi yake. Hoja yangu hii inathibitishwa na maagizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…