watetezi wa wenye ulemavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    GE2025 Watetezi wa wenye Ulemavu (TAJU): Wasimamizi wa Uchaguzi tendeni haki. Uchaguzi ufanyike kwa Amani

    Taasisi ya Tanzania Jumuishi (TAJU) inayotetea haki za watu wenye ulemavu nchini imetoa wito kwa Watanzania kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani na utulivu bila kujihusisha na vurugu na machafuko. TAJU imetoa wito huo hii leo jijiji Dar es Salaam zikiwa zimesalia siku chache kuelekea siku ya...
Back
Top Bottom