Mbunge wa Mbulu Vijijini (CCM) Flatei Massay amehoji kwa nini Serikali haiwaajiri wahitimu wenye Diploma kuwa Watendaji wa Vijiji.
Akiuliza swali leo Mei 22,2025 bungeni Dodoma Mbunge huyo amehoji kwa nini Serikali haiwaajiri wahitimu wenye Diploma kuwa Watendaji wa Vijiji.
Akijibu,Naibu...