Ikiwezekana balozi zote za Tanzania huko ulaya zifungwe na mabalozi wote wafurushwe na kurudishwa Tanzania.
Viongozi wote waliopo kwenye serikali hii wasikanyage nchi yoyote ya ulaya.
Mmarekani nae agongelee msumali
Kwa hakika, na kwa jina la Mungu wa Ibrahim, aishiye milele, hakuna chama kilichojaa watu wanafiki, watu ambao ni watumishi waaminifu wa shetani, katika Ulimwengu mzima, kuizidi CCM.
Ukiwasikia viongozi wa CCM na Serikali yao, kila mahali wanajinadi kuwa wao ni wahubiri wa amani, wao ni walinzi...
Jamii na vyombo mbalimbali vya kimataifa vinashangazwa na utawala wa Tanzania namna wanavyominya haki za watanzania, na jinsi wanavyomfanyia uharamia Tundu Lisu. Washangazwa jinsi Lisu anavyozongwa na askari waliojificha nyuso zao kama vile wamemzunguka gaidi wakati Lisu ni mtetezi wa haki...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, Emau Mwamakula, ametoa tahadhari kuhusu hali ya usalama nchini. Akizungumza kwenye mahojiano na Jambo TV, Mwamakula ameeleza kuwa watekaji wapo ndani ya jamii na hatari inayokua inapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa.
Amesisitiza haja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.