Kwa wasiofahamu Watanzania wa twitter mwaka 2019 waliwahi kukusanyika kufanya ToT bonanza, hili ni jambo la kushangaza kidogo ukizingatia wengi wao hata hawajuaini na wala sio ndugu, ila waliweza kuaminiana wakukusanyana wakala nyama na kunywa pamoja na kufanya michezo mbalimbali na kuonyesha...