washikiliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watu 14 washikiliwa kwa tuhuma za kurekodi video mgonjwa akiwa ICU Muhimbili

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) linamshikilia ALLEN SAMWEL MHINA, Miaka 31, Mbondei, Mkurugenzi wa Mtandao wa kijamii wa U-turn Collection mkazi wa Temeke Mwembeyanga na wenzake 13 kwa tuhuma za kusambaza video katika...
  2. JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wamshikilia Diwani na wenzake kwa kumpiga mpiga picha

    Mnamo tarehe 03.03.2022 majira ya saa 08:00 asubuhi huko Mtaa wa Igodima, Kata ya Iganzo, Tarafa ya Sisimba, Jijini Mbeya, Kijana aitwaye SHADRACK ZACHARIA [28] Mpiga Picha na Mkazi wa Igodima Jijini Mbeya anayeonekana kwenye “clip” ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii akishambuliwa...
  3. JamiiForums Tanzania Watu watano washikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya watu wa familia moja Mwanza

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano wakiwemo mke na mume kwa tuhuma za kuhusika kwenye mauaji ya watu watatu wa familia moja katika mtaa wa Mecco mkoani Mwanza. Kwenye tukio hilo lililotokea Jumanne Januari 18, 2022 mfanyabiashara, Mary Charles (42), mtoto wake, Jenifa...
  4. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Burkina Faso washikiliwa kwa madai ya njama ya mapinduzi

    Mamlaka nchini Burkina Faso imetangaza kukamatwa kwa wanajeshi wanane wanaotuhumiwa kupanga njama ya mapinduzi. Miongoni mwa waliokamatwa ni Kanali Mohamed Emmanuel Zoungrana - kamanda maarufu wa zamani wa jeshi ambaye ameripotiwa kuikosoa serikali. Wizara ya haki Jumanne ilisema uchunguzi...
  5. JamiiForums Tanzania Dar: Kilo 99.33 za Dawa za Kulevya zakamatwa, watuhumiwa 8 washikiliwa

    TAARIFA YA KAMISHNA JENERALI WA MAMLAKA YA KUDHIBITI NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA GERALD MUSABILA KUSAYA KWA WANAHABARI TAREHE 19 JUNI, 2021 OPERESHENI YA UKAMATAJI WA DAWA ZA KULEVYA KWA MWEZI JUNI Ndugu Wanahabari Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Nimewaita leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…