wapangaji kero

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    Kwa kauli hii Mwenyekiti wa Wapangaji Tanzania, hivi Mwenye nyumba wako anakubali kodi ya mwezi mmoja?

    Wakuu, Msikilizeni Abdallah Msagama mwenyekiti wa wapangaji Tanzania akizungumzia kuhusu wapangaji kulipishwa kodi ya miezi 6. "Sheria ya Kodi ya Nyumba ni mwezi mmoja mmoja, sio miezi sita kama ulivyo utaratibu wa baadhi ya wamiliki wa nyumba, na changamoto hii imechagizwa na madalali ambao...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Masharti na kanuni nilizo kutana nazo kwenye Nyumba za kupanga.

    Heri kwenu wakuu. Kwanza nianze Kwa kusema wakuu jibane bane ujenge uwe na kwako.hata kama ni chumba na sebule tu.Ni heshima kubwa mno kwako na hata Kwa demu/mke wako. Kipindi hicho Sina ramani za maana nilipata chumba Kwa jamaa mmoja Hivi. Chumba hakikuwa kizuri sana yaani Cha kawaida...
  3. DR HAYA LAND

    Nimempinga mpangaji ngumi je, nipo sahihi?

    Naomba ufafanuzi, Mimi ni introvert mtaa mzima wanaelewa kuwa sina makuu na mtu. Siongeagi na mtu yoyote pasipo sababu za msingi. Sasa hapa ninapopanga kuna mpangaji analewa then ananigonga madirisha yangu bila sababu. Nimefungua dirisha na nimemsalimia na kupitisha mkono vizuri na kumpa ngumi...
Back
Top Bottom