Mrussia hakutaka kujimaliza kama SIMPS wengi mnavyofanya
Alisikika tu akisema:
"Hello.
How are u doing?
You look good.
I'm from Russia
My English bad
Come with me."
Magetoni mademu wanapewa kikombe cha maji wanalombwa.
Kama wewe unataka kuhudumia na kupay bills, valentine gifts, dinner dates...
Ingawa ukarimu na kujali wengine bila misingi ya upendeleo na ubaguzi ni jambo jema sana ila kusimp ni tabia ambayo inamfanya mtu kutoka nje ya mipaka ya ukarimu na utu na kuanza kuingia katika muendelezo wa matendo ya kujidhalilisha na kujidhurumu kihisia na kujishushia heshima na utu wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.