wanaume asanteni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Oscar Lyrics

    Wanaume tunakufa na tai shingoni

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Wanaume tunapitia changamoto nyingi kama ilivyoandikwa, tutakula kwa jasho. Mwanaume anapambana ili kuitunza familia yake, analipa Gharama zote za chakula, ada, matibabu, mavazi nk Siku zinaenda watoto wanamaliza masomo wanapata kazi...
  2. Binti wa zamani

    Wanaume leo naomba niwape maua yenu

    Jamii zetu za kiafrika zimeweka mzigo mkubwa sana kwa mwanaume. Naomba kutambua mchango wenu na kuwapa maua yenu kama ishara ya shukrani. Shukrani za dhati ziwaendee; 🌹 Wanaume wanaoweka juhudi katika kazi zao halali, wakifanya kwa uaminifu na kujituma ili kujenga maisha bora kwao na familia...
Back
Top Bottom