Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Rahma Mwita amewataka wanaofuatilia siasa mitandaoni kuacha tabia ya kutukana viongozi kwa sababu ni udhalilishaji wa mwanamke na wazazi wao wenyewe.
Taasisi ya Pollicy Data Institute Agosti 15, 2025 imeendesha mafunzo kwa waandishi wa habari nchini Tanzania, yakilenga mbinu za kuandika habari zisizowabagua wanawake, hasa wale wanaojihusisha na siasa. Mafunzo haya ni sehemu ya mradi wa kimataifa unaoitwa Vote Women, unaolenga kuongeza...