wanasheria wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    Wanasheria wa Tanzania wengi ni VIHIYO WA SHERIA WAKIONGOZWA NA MWABUKUSI RAIS WAO, mnakubalije mwanasheria mwezenu asukumwe kama kondom na askari mag

    Mwabukusi na WENZAKO wote nyie ni vihiyo haiwezekani mnajua Lissu sio muhaini nyie mmekaa TU mmeshindwa hata kuandaa maandamano ya kushikiza aachiwe Hivi Jana mliona alivyosukumwa kama kondom iliyotolewa kwenye sehemu za Siri za kiume zilizomaliza kujamiana Shame on you all rubish lowyer...
  2. Alblondys

    Chanzo cha Mapato kwenye vyama vya siasa

    Salam wana JF, Nimekuwa na swali linalonipa maswali Mengi kila Kukicha. Tukiachana na Michango ya wanachama, Wahisani wa ndani, wafanyabiashara n.k Je! Vyama vyetu vya Siasa vinapata wapi Pesa zaKujiendeshea? 2: je! Kama Kuna Misaada kutoka mashirika ya Kimataifa; ni % ngapi zinagawiwa. 3...
  3. comte

    Unafiki wa wanasheria wa Tanzania

    Toka katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iweke ukomo wa mtu kukaa kwenye nafasi ya urais kwa miaka 10 kwa vipindi vya miaka 5, mgombea wa CCM aliye na stahiki ya kugombea mhula wa pili baada ya kumaliza mhula wa kwanza hashindanishwi na wenzake ndani ya chama chake. Ilikuwa hivyo toka kwa...
  4. J

    LGE2024 JamiiForums na StarTV kuwahoji wanasheria kuhusu Hali ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa leo Novemba 23, 2024

    JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV itaendesha Mjadala kuhusu Nafasi ya Wanasheria Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 Mjadala utaongozwa na Mtangazaji Edwin Odemba (Chief Odemba) akiwa na Wadau wa Masuala ya Sheria wakiwemo Onesmo Olengurumwa...
  5. TODAYS

    Msikie Spika Tulia aikimba ila kwa anavyo onekana, Bora hata ya Ndugai!

    Jua maisha ni mlima eeh,maisha ni mlima, Kuna kupanda na kushuka eeh, Kupanda na kushuka, kuteleza siyo kuanguka eeh, Hiyo hapo juu ni chorus ya wimbo kutoka kwa kinywa cha spika wenu wa bunge, sijui makusudi yake ila kwa anavyo onekana ni tumekosa spika mwenye kujiheshimu hana hadhi kwetu...
  6. K

    Mawakili na wanasheria wanayo nafasi kubwa ya kuboresha utawala bora nchini

    Hawa watu wakifungua kesi nyingi nyingi zinazowahusu polisi, wakuu wa wilaya, mawaziri, wakuu wa mikoa nk zitawaweka busy na zitawapa aibu angalau wataanza kukemea uonevu unaofanywa na watu wao wa chini. Kwa wiki hizi za karibuni nchi imepitia katika heka heka nyingi ambazo ni nyingi zinaumiza...
Back
Top Bottom