Wakuu
Bwege anasema Nchi hii, ukitaka kupata taabu, kosoa wakubwa. Wanachotaka ni ujikombe kwao; jambo zuri uwapigie makofi, baya pigie makofi. Ameyasema hayo wakati kifanya mahojiano na Mwanahalisi Tv.
"Wanasema mkubwa hajambi, sisi wengine hatuamini tunaamini mkubwa anajamba na anapojamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.