Ni swali tu nauliza, Mara nyingi sana wapinzani wanalaumu wasanii kuwa upande wa CCM ambao ni watesi wao lakini hao wasanii ndio wanapewa attention kubwa sana wakipost chochote kwenye mitandao yao wanawapa sapoti.
Ishu ni kwamba wale wasanii ambao wanawaunga Mkono mfano kina nay wa mitego...
Nimeona video ya mgombea urais Zanzibar kupitia AAFP, Said Soud Said akifurahia kukabidhiwa gari na Tume ya Uchaguzi Zanzibar. Kasahau kama nae ni mgombea Urais kaanza kumnadi mgombea urais kupitia CCM.
Kwa maoni yangu naona hii si aina ya ushindani ambao tunahitaji kwenye uchaguzi, ni ujinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.