Utawala wa Venezuela kwa wavenezuela ulikuwa mbovu na mbaya mno kiasi cha kusema ni bora waingie wazungu labda wana huru.
Kuibiwa na mtu mweusi, bora mzungu
Naungana na mange Kimambi lolote litokeee kwetu
Mwanachama wa CHADEMA James Mbowe, amelaumu serikali kwa kuunda mazingira yanayowafanya wananchi kudharau mchakato wa uchaguzi. Akizungumza na Jambo Tv, Mbowe ameeleza kwamba wananchi wengi wanajua ni nani wamemchagua, lakini hawajawahi kujua matokeo halisi ya uchaguzi, hali ambayo inachangia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.