wanamgambo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kijue kikosi cha BASIJ: Kwa nini kuuawa kwa kiongozi wao ni pigo kubwa, huku kikikabiliwa na mashambulizi makali ya droni kutoka angani na risasi mita

    Basij ni wanamgambo wa Iran wanaofanya kazi chini ya mwavuli wa jeshi kuu la IRGC, (Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran). Hata hivyo, tofauti na jeshi hilo rasmi lenye muundo wa kijeshi na majukumu ya kimkakati, wao hujikita zaidi katika kuhakikisha utii wa utawala katika ngazi za...
  2. Magaidi kutoka Nchi 22 walijiunga na kundi la Wanamgambo wa Israel -IDF

    ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅTaarifa ya Siri iliyofichuliwa huko Uingereza inataja zaidi ya Nchi 22 duniani zilituma magaidi kwenda Israel kwa ajili ya kuua watoto wa dogo na wanawake wasiokuwa na silaha huko GAZA Palestine. Ripoti hiyo inataja marekani ndio Nchini iliyopeleka Magaidi Wengi zaidi kujiunga na kundi la...
  3. R

    Rufaa ya aliyekuwa dereva wa wanamgambo wa Kihutu Mauaji ya kimbari Rwanda kuendeshwa Paris

    Kesi ya rufaa ya raia wa ufaransa mwenye asili ya Rwanda anayekabiliwa na tuhuma za mauaji ya kimbari imefunguliwa Jumanne katika Mahakama ya Assize ya Paris. Claude Muhayimana alipatikana na hatia mwaka 2021 kwa kosa la kushiriki katika mauaji ya kimbari na uhalifu dhidi ya binadamu, na...
  4. Yasser Abu Shabab, kiongozi wa wanamgambo wenye silaha wanaopigana na Hamas awahutubia wakazi wa Gaza!!!

    Yasser Abu Shabab, kiongozi wa wanamgambo wenye silaha wanaopigana na Hamas wenye makao yake makuu mjini Rafah, anawahutubia wakazi wa Ukanda wa Gaza katikati ya matakwa ya Hamas katika mazungumzo kuhusu Ukanda wa Morag: โ€œHamas haitatia saini mkataba huo. Morag Corridor inawatia hofu. Hawataki...
  5. Mfadhili mkuu Israel kaamrisha wanamgambo wake wote waingie kwenye mapango

    Marekani imeamrisha wanajeshi wake wote kwenye base za mashariki ya kati waingie kwenye bunker ili kuokoa viwiliwili baada Iran kuanza maangamizi ndani ya Israel U.S. Servicemembers at two bases in the Middle East were ordered into bunkers during tonightโ€™s Iranian ballistic missile attacks...
  6. M

    Israel yaunda kundi jingine la wanamgambo wa Kipalestina huko Gaza na kulipa silaha

    Kiongozi wa Upinzani huko Israel bwana Yair Lapid ameishutumu serikali ya Israel chini ya Benjamin Netanyahu kwa kuunda kundi jingine la wanamgambo huko Gaza na kuwapa Silaha. bwana Yair amesema kuwa kitendo hicho kinahatarisha maisha ya wanajeshi wa IDF maana silaha zitakuja kuishia kwa...
  7. Kikundi cha wanamgambo wa Ukraine walioalikwa Uingereza wametorokea mitaani huko London

    Kikundi cha Wanamgambo wa Ukraine waliokwenda kushiriki graride la Victory in Europe Day huko London wametorokea na kuingia mitaani hawataki kurudi Ukraine kusulibiwa na Vikosi vya Wachechinyia ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ A group of Ukrainian servicemen who were invited to take part in the ceremonial parade in honor of...
  8. Pakistani yashambuliwa na kikundi cha wanamgambo kutokea Ndani ya Nchi, wanajeshi 14 wapigwa kombola wakiwa ndani ya gari

    Baloch Liberation Army (BLA) imekiri kuhusika na mashambulizi mawili mabaya dhidi ya vikosi vya jeshi la Pakistan huko Balochistan, yaliyosababisha vifo vya wanajeshi 14, wakiwemo maafisa wa ngazi za juu. Katika tamko kali, BLA imeapa kuongeza operesheni zake, ikilitaja jeshi la Pakistan kuwa...
  9. Wanamgambo wa Israel wazingirwa wakiwa Kambi

    Wanamgambo wa Israel wamejikuta ndani ya mzingiro mkubwa wa moto huku wakitoa kilio cha hofu ya kuteketezwa na kubaki majivu. ๐Ÿšจ BREAKING: Fires are advancing and reportedly surrounding Israeli occupation forces inside their military bases.
  10. Viongozi wa kanisa Katoliki na kanisa la kristo nchini DRC wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23

    VIONGOZI wa Makanisa Katoliki Nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENCO) pamoja na Kanisa la Kristo nchini humo (ECC), mapema leo Februari 12, 2025 wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23 lengo likiwa ni kujadili udumishaji amani nchini humo. Viongozi hao...
  11. Machifu watano wametekwa nyara na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo huko Mandera

    Machifu watano wanadaiwa kutekwa nyara siku ya Jumatatu na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa al-Shabaab katika Kaunti ya Mandera nchini Kenya. Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Mashariki John Otieno alisema watano hao walikuwa wakielekea Elwak walipotekwa nyara kati ya Bamba Owla na Ires Suki. Kwa...
  12. D

    Hivi nani gaidi kati Israel na M23 au Wanamgambo wa kule Gaza?

    Kwa maoni yangu Islael ndo magaidi mana walivamia nchi ya watu na wanaendeleza ugaidi. Ee Mungu wahurumie na waokoe wapalestina. Mimi mkatoliki mwaminifu.
  13. S

    Serikali ya Israeli na Hamas wamekubaliana juu ya makubaliano ambayo yatasimamisha mapigano huko Gaza

    Serikali ya Israeli na Hamas wamekubaliana juu ya makubaliano ambayo yatasimamisha mapigano huko Gaza na kusababisha kuachiliwa kwa hatua kwa hatua kwa mateka na wafungwa wa Kipalestina, vyanzo vinaeleza CNN. Chini ya makubaliano hayo, ambayo bado hayajatangazwa rasmi, Hamas na makundi ya...
  14. G

    Jeshi la Israel lavunja rekodi, Raia 13 wamefariki kwa kila wanamgambo 10, Ratio iliyozoeleka 90 kwa 10, Ni wapumbavu wanaoamini kuna Genocide !

    Vita inapotokea ratio ya wastani huwa ni raia 90 watafariki kwa kila mwanajeshi 10 wataouwawa vitani. Israel imeshangaza ulimwengu wa vita kwa kuweza kuwa na ratio ndogo sana Kufikia mwezi uliopita Wizara ya Afya ya Gaza imerekodi vifo elf 25 vilivyohakikishwa, Hamas wanasema kuna jumla ya...
  15. Wanamgambo 100 wa Ukraine na Wakufunzi 40 wa NATO wauwawa

    Russia imeshambulia kwa Kombora la Iskender ghala lilokuwa linatumika kama maficho ya Wanamgambo Ukraine na Magaidi 40 wa NATO waliokua wakitoa mafunzo huko Kharkov.. ๐Ÿšจ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆA successful Russian Iskander-M strike on a warehouse in Kharkov just killed 100 Ukrainian militants of which 40 were...
  16. Wanamgambo wa Israel waunguzwa ndani Merkava Battle Tank

    Wanamgambo wa Israel wakiwa kwenye uwanja wa mapambano na Kifaru chao aina Merkava wameviziwa na makomando Hamas kisha kuwekewa mabomu bila wao kushtuka baada sekunde 3 kikalipuka na kubaki majivu
  17. North Korea kupeleka Wanajeshi 100,000 kuwafyeka wanamgambo wa NATO

    North Korea inapeleka wanajeshi 100000 Nchini Russia kusaidia kuwaminya kende wanamgambo wa NATO โš ๏ธ ๐๐ซ๐ž๐š๐ค๐ข๐ง๐  ๐๐ž๐ฐ๐ฌ โš ๏ธ ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ต | ๐—ก๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ ๐—ž๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ ๐˜๐—ผ ๐˜€๐—ฒ๐—ป๐—ฑ ๐˜๐—ฟ๐—ผ๐—ผ๐—ฝ๐˜€ ๐˜๐—ผ ๐—ณ๐—ถ๐—ด๐—ต๐˜ ๐—จ๐—ธ๐—ฟ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฒโ€ฆ ๐—ก๐—ผ๐—ฟ๐˜๐—ต ๐—ž๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ has reportedly offered to send ๐—ฅ๐˜‚๐˜€๐˜€๐—ถ๐—ฎ up to ๐Ÿญ๐Ÿฌ๐Ÿฌ,๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ troops to ๐—ณ๐—ถ๐—ด๐—ต๐˜ ๐—จ๐—ธ๐—ฟ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฒ. Early reports indicate ๐—ก๐—ผ๐—ฟ๐˜๐—ต ๐—ž๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ...
  18. Wanamgambo wa Hamas wameshakuwa jeshi kubwa.Israel haiwezi kushinda kamwe.

    Vita vilipoanza baada ya shambulio la oktoba 7 na kwa kujua ukubwa wa jeshi la Israel haikutarajiwa kufikisha hata wiki moja kabla Israel kukamilisha malengo yake ambayo na kuwafuta Hamas na kuwapata mateka wote waliokuwa wameshikiliwa na Hamas. Watu wa Gaza zaidi ya 35,000 mpaka sasa...
  19. I

    Marekani yateka silaha za Iran wakipelekewa wanamgambo wa Houthi

    Jeshi la Wanamaji la Marekani limeripoti kwamba limekamata silaha zilizotumwa na Iran kuwapa waasi wa Houthi wa Yemen wiki iliyopita. Jeshi la Marekani (CENTCOM) lilitangaza katika taarifa siku ya Jumanne kwamba Seals wa Jeshi la Wanamaji la Marekani walipata silaha hizo wakati wa shambulio la...
  20. I

    Marekani yawashambulia tena wanamgambo wa Houthi

    Jeshi la Marekani linaendelea na mashambulizi ya ziada dhidi ya waasi wa Houthi nchini Yemen, siku moja baada ya kuanzisha wimbi la mashambulizi katika maeneo karibu 30 nchini humo ili kudhalilisha uwezo wa kundi la waasi linaloungwa mkono na Iran kushambulia meli za Bahari Nyekundu, maafisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ