Ushujaa halisi wa IDF.
Wanajeshi wa IDF waliangusha Drone ya Hezbollah iliyokuwa imebeba mabomu, wakati huo huo askari wa IDF walikuwa wanahamisha majeruhi kutoka Mstari wa mbele kuwapeleka hospitali (Emergency-Evacuation)wanajeshi hao waliojeruhiwa kwenye mapigano huko kusini mwa Lebanon.!!