Kuna mtu mmoja amewahi kusema ntwara(mtwara ) haikuwa ndani ya Tanzania bali ulikuwa ukanda wa Msumbiji, Yawezekana yakawa ni ya kweli mimi sina uhakika.
Dondoo hizi zinahusu mambo ya kunishangaza ambayo nimewahi kuyaona ntwara
1. Ukitembea muda wa mchana utaona kana kwamba mji una vijana wa...