"Ninaweza nikasema hapa, wakasema labda anasema hivyo kwa sababu amemteua DC. Mimi hata ukija chumbani kwangu nina bed side mkono wa kulia na kushoto kuna picha ya mheshimiwa Rais.
-
Nilimwambia mke wangu hata nikifa leo atakayechukua simu yangu, asimtoe Rais kwenye wallpaper aiache hivyo hivyo...