waliokuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Mungu ni mwema sana, sasa tunawafahamu waliokuwa wakimpotosha Hayati Magufuli kuhusu Corona

    Askofu Gwajima anaonesha kuwa ni mmojawapo waliokuwa wanamshauri vibaya Rais JPM (rip). Hizi chanjo hata Ulaya na Marekani wanachanja kwa wingi sana. Inamaana wao watakuwa mazombi ili Gwajima akazoe Dola zao kwenye mabenki watakapogeuka kuwa mazombi kama anavyosema Gwajima kuwa chanjo hizi...
  2. JamiiForums Kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''sukuma gang''; Je, kwa sasa ni zamu ya waliokuwa wanafurahia na kufanya sherehe!

    Kwa wale wakongwe wa Jamiiforums wananifahamu kuwa mimi ni mmoja wa watu tulikuwa nyuma ya aliyekuwa Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tano, Rais Magufuli tokea kwenye mchakato wa kumpata mgombea Urais ndani ya CCM mpaka alipoitwa na Mwenyezi Mungu. Rais Magufuli amenifundisha mengi sana mazuri na...
  3. C

    JamiiForums Waliokuwa wanatukana watu kwa mgongo wa uzalendo bado wapo?

    Kwa kweli hii nchi ilikuwa imefikia pabaya kwa baadhi ya makundi kutoa lugha za kashfa,dharau ,ubabe ,matusi kisa kumlinda au kumtetea mwendazake na maovu yake Kuna mtu anatokea kanda ya ziwa alikuwa na magazeti ya kuwatukana watanzania siku hizi sijui kama hayo magazeti yapo Kila wiki yupo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…