Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa kutoka Mkoa wa Mwanza Salma Kasanzu awataka wananchi mkoani Mwanza kuwazomea viongozi wakuu wa CHAUMMA ambao wametoka CHADEMA akidai kuwa viongozi hao wapo kwa ajili ya kupambania matumbo yao na sio wananchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Kuna wimbi la wanasiasa na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kukihama chama hicho kikuu cha upinzani na kuhamia chama kingine cha upinzani cha Ukombozi wa Umma (Chaumma).
Mei 19, 2025, Mwenyekiti wa Chaumma, Hashim Rungwe aliwapokea baadhi ya vigogo hao; akiwemo Salum...
Viongozi 10 na wanachama 78 wa CHADEMA mkoa wa Tanga wametangaza kujiondoa kwenye chama hicho, huku hawaelezi wanakwenda kujiunga na chama gani licha ya kuendelea kuwepo kwenue siasa.
Viongozi na wanachama hao walitangaza uamuzi huo leo Mei 18, 2025.
Viongozi hao ni Katibu Bawacha Mkoa wa...
Katika kipindi ambacho baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamekuwa wakitangaza kuhama na kujiunga na vyama vingine, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Frank Mwakajoka, ameeleza kuwa hatua hiyo inaonyesha kushindwa kwao kuvumilia misimamo ya chama...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amewakaribisha kujiunga na CCM Wajumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA iliyomaliza muda wake ambao leo May 07,2025 wametangaza kuondoka CHADEMA akiwemo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA...
Makamu mwenyekiti amewahi kuhamia CCM
Katibu mkuu amewahi kuhamia CCM
Wabunge wamehamia CCM
Mwenyekiti wa Bavicha kahamia CCM
Mshauri mkuu wa Chama kahamia CCM
Ni nafasi ya Mwenyekiti tu ndio haijawahi kukimbiwa
Baadae mlale Unono 😀😀
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.