Isa 40:29 SUV
[29] Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo.
Sio ajabu siku za leo kukutana na ndugu katika BWANA amechoka sana, hana hamu tena na ibada, huduma, na ile hamu ya kuendelea mbele kwa maisha ya wokovu haipo tena. Kutokana na magumu anayopitia katika maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.