Mheshimiwa waziri inaumiza kwa kitendo hiki cha Uongozi wa shule hii kuwakomoa vijana hawa wa kidato cha sita wanaotarajia kuanza mitihani yao ya kitaifa mwezi May.
Kwa kifupi. Ni kwamba yalifanyika mahafali ya kidato cha sita juzi Jumamosi ya tarehe 5 Aprili 2025.
Mahafali yaliisha salama...
Baada ya mgomo wa madaktari Tanzania ulioacha vifo vingi na kufanikisha maboresho mengi katika sekta ya Afya miaka kadhaa iliyopita Sasa na Walimu nao wamekuja na mgomo baridi usioonekana kwa haraka kwa watu wenye akili ndogo
Walimu wa Tanzania ni kama wapo katika passive resistance na mgomo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.