Ndugu zangu nimekua niki tahamaki tabia za hawa wadudu yani kuna kabaar apa jirani kapo classic kiasi.
Ila kila nikienda kugida bia zangu lazima awa wadudu waje mezani ata walambe japo kidogo bia kabla na wao awajalala sijui ni kwa nini!!
Na mimi nimekua sio mchoyo nikiwaona tu mezani nawaekea...