walanguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bora Tonetone ya Hiari kuliko Harambee ya Mabwenyenye na Walanguzi

    Habari wanajamvi Kampeni/matamasha yanaendelea watu walewale wanaendelea kusombwa kwa malori kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Akiwa kwenye mkutano mmoja wa kampeni juzi, mgombea wa CCM Bibi SAMIA alisema " SISI SIYO WALE WA TONETONE" Bila shaka raisi ameelewa maana ya tonetone ama hajaelewa...
  2. Nyerere " Ikulu ni mahali patakatifu, Sikuchaguliwa nipageuze kuwa pango la walanguzi"

    Hii kauli ya Mwalimu Nyerere inatafakarisha sana kwa yanayoendelea nchini kwenye huu utawala wa sasa.
  3. Walanguzi wa Kariakoo wanasumbua sana Shati la Tsh 5,000 unauza 30,000?

    Wachina wanakaribishwa kwa wingi Kariakoo ikibidi wafungue malls za kutosha pale Mnazi Mmoja na Jangwani ili wauze vitu nafuu tofauti na Walanguzi wa sasa. Shati la Tsh 5,000 Mkinga/Mangi anauza 30,000 Kariakoo?
  4. EA Commercial & Logistics Centre (EACLC) kiboko ya Walanguzi K/Koo

    Wachina (EACLC) wanafungua Mall kubwa ilipokua Ubungo Bus Terminal . Tutarajie walanguzi wa Kariakoo kuanza kulia njaa na kuandamana kumtaka Chalamila afukuze wachina. **Wachina waruhusiwe kuuza Hadi Tunduma/Kasumulu/Rusumo na Mipakani kote. Wacongo, Wazambia , Wamalawi, Wanyarwanda wasifike...
  5. EWURA yawakamata walanguzi wa mafuta ya Petroli Loliondo

    Timu ya Wakaguzi EWURA ikishirikiana na vyombo vingine vya Usalama imewakamata walanguzi wa mafuta ya petroli wakihifadhi na kuuza mafuta hayo kwenye madumu ya lita 20 na 200. Aidha waliokomatwa kwa kukutwa wakiuza mafuta Loliondo ni: 1. Wilson Bussein Balagiswa Lita:411 2. John Emanuel...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…