Kuna taarifa zinasambaa kuwa huko Nigeria kumedondoshwa mabomu kuwapa ujumbe hao wenye misimamo ya kidini nchini humo wanbaosababisha vurugu na mateso kwa waNigeria wengine wasiokubaliana na misimamo yao.
Chonde chonde, maana inaonyesha Tanzania nako kumeanza kuwepo na viashiria vya msimamo...
Anaadika Peter Hegseth, Waziri wa Vita wa Marekani kupitia ukurasa wake wa X:
"Kuua Wakristo wasio na hatia nchini Nigeria na mahali popote kunapaswa kuisha mara moja.
Idara ya Vita inaandaa hatua. Ama Serikali ya Nigeria itawalinda Wakristo, ama tutawaua wanamgambo wa kiislamu wanaofanya...
Kwa muda mrefu nchini Nigeria kumekuwa na vikundi vya kigaidi vinavyoua wakristo kwasababu wana dini tofauti, Hata hivyo vyombo vya habari vimekuwa kimya.
kupitia mtandao huru wa X watu wengi wamekuwa wakihoji juu ya ukimya akiwemo Bondia maarufu Ryan Garcia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.