Wakili Hekima Mwasipu, mmoja wa Mawakili wanaowawakilisha Rosemary Mwakitwange, Wakili Deogratius Mahinyila na Wakili Edward Heche ambao ni waleta maombi kwenye kesi ya kuhoji uhalali wa Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea nchini Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam imewaruhusu waleta maombi kufungua kesi ya msingi, katika shauri namba 30210/2025 linalohusu kupinga uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuteua Tume Huru ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani nchini yaliyotokea Oktoba 29...
Ikumbukwe kuwa ndugu Godfrey Mwambe ambaye alikua waziri wa Uwekezaji anakabiriwa na makosa mbalimbali ya uhalifu na anashikiliwa kihalali katika kituo cha polisi kigamboni Leo hii ndugu Hekima Mwasipu ambaye ni Wakili wa mahakama kuu na mahaka zilizo chini yake amefungua maombi na kushinikiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.