Sisi wakazi wa Goba Mitaa ya Nasary & Mwanzo tuna kero kubwa ya kukosa maji, unakuta tunapata mara 3 au 4 kwa Mwaka😢 wakati ambapo mitaa ya jirani wao wenyewe wanapata walau mara moja kwa mwezi.
Hii hali inatuumiza sana kwa kuwa kuna muda tunalazimika kununua madoza ya maji hadi kwa Shilingi...
Anonymous
Thread
goba
maji
mara
mitaa
mwaka
mwanzo
wakaziwakaziwagoba
Habari za jioni bw Aweso
Mm ni mkazi wa goba osterbay hapa jirani na bar ya Triple B,tuna muda wa wiki tatu hatujapata maji na wala dawasco hawajatoa taarifa yoyote ya nini tatizo.
Kikawaida tunapata maji kwa wiki mara moja kila siku ya jumatano, lakini imepita wiki tatu sasa hatujapata maji...
Toka jana mida ya Saa 8 usiku hakuna umeme, ukarudi kwenye saa 11 na kukatika tena hadi sasa
Ubaya ni kuwa hakuna taarifa yoyote kutoka TANESCO kuhusu changamoto ya iliyosababisha katizo la Umeme
Kwanini TANESCO hamtujali wateja wenu? Unakataje Umeme kwa zaidi ya Saa 6 bila kutoa Taarifa?
Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.