Aliyekuwa mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kutetea ubunge Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu, leo Jumatano Julai 2, 2025.
Mpina amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Meatu, Nabothi Manyonyi.
=========================
Mbunge ambaye Jimbo...