wagonjwa wa saratani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania RESOLVED Daraja la Kimara Mwisho lawekewa kingo

    Julai 10, 2026, Mdau aliandika kupitia JamiiForums.com kuwa ni vema ujenzi wa daraja lililopo Kimara Mwisho ukamaliziwa kwa kuwa ni hatarishi kwa watumiaji kutokana na kukosa kingo za pembeni. Pia soma ~ Serikali naomba mlimalizie Daraja la Kimara mnahatarisha usalama wa wananchi Daraja hilo...
  2. JamiiForums Tanzania Responded Ufafanuzi kuhusu: Upatikanaji wa Dawa ya Trastuzumab kwa Wagonjwa wa Saratani

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu madai ya kutokuwepo kwa dawa ya Trastuzumab, inayotumika katika matibabu ya baadhi ya wagonjwa wa saratani. MNH inapenda kuufahamisha umma, wagonjwa na wadau wote kuwa dawa ya Trastuzumab...
  3. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya kuongezeka kwa wagonjwa wa saratani Tanzania?

    Siku za hivi karibuni kumekua na vifo vingi vinavyohusiana na saratani. Mwaka jana tulizika ndugu yetu,mwanamke wa umri wa miaka 46 aliyekuwa anasumbuliwa na saratani,aliugu muda mrefu pamoja na maumivu makali. Juzi kuna kijiji nilienda kuna mama mmoja namfahamu ni mama mtu mzima umri miaka 64...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…