wafuasi wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Je kwenye kura watapiga wafuasi wa CCM pekee? Je huu ni uchaguzi wa chama au wa taifa.?

    Ili kuthibitisha kuwa mikutano ya CCM inajaa, ingefaa tuone na mikutano ya CHADEMA. Hapo ndo tungejua kuwa mikutano ya CCM haina watu. Nilihudhuria ufunguzi wa mkutano wa CCM mahali. Kwenye picha ilionekana watu ni wengi sana kwasababu picha zilipigwa tokea mbele. Mkutano ulifanyikia kwenye...
  2. PreGE2025 Video: Babu Tale agawa kanga kwa wafuasi wa CCM huko Morogoro

    😁 Hili li nchi ni kichekesho , yaan kuitamaza Tanzania wakati ukiwa unaishi taifa lingine , nikama umepata ofa ya kutizama stand-up comedy Bure. Siasa za kipumbavu sana!
  3. PreGE2025 CCM imejaa watu wa ajabu

    Tofauti ya binadamu na wanyama, ipo kwenye ustaarabu, lakini kwenye mambo mengine mengi, tunashabihiana. Wanyama wanakula kama tunavyokula wanadamu. Wanyama wanajamihiana, kama ilivyo kwa binadamu. Wanyama wanazaa na kufa kama ilivyo kwa wanadamu. Mwanadamu ambaye ubinadamu wake umekamilika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…