wafa maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji 14 wafa maji kisiwa cha Mafia

    Wahamiaji wasiopungua 14 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi na Visiwa vya Comoro wamefariki dunia, huku wengine 22 wakiokolewa baada ya boti yao kuharibika karibu na Kisiwa cha Mafia nchini Tanzania, afisa wa eneo hilo alisema Jumamosi. Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Aziza Mangosongo...
  2. JamiiForums Tanzania Watu 45 Wafa Maji Nchini Djibouti, IOM yasema

    Shirika la kimataifa la Uhamiaji (IOM) limesema kuwa watu 45 wamepoteza maisha na wengine 111 hawajulikani walipo kufuatia ajali ya baharini iliyohusisha chombo kilichokuwa kimebeba wahamiaji haramu. Tukio hilo lililotokea katika fukwe ya Obock iliyo karibu na Godoria ilihusisha boti mbili...
  3. JamiiForums Tanzania Mara: Watu wawili wafa maji Ziwa Victoria wakitokea kwa mganga wa kienyeji

    Watu wawili wamefariki dunia baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama ndani ya Ziwa Victoria katika Kijiji cha Burere wilayani Rorya mkoani Mara huku wengine wawili wakiokolewa. Tukio hilo limetokea juzi Jumapili Septemba 29, 2024 saa 11 jioni wakati watu hao wakiwa wanatoka Kijiji cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…