❖ Baada ya Miaka 100 GST Yajielekeza kwenye Ujenzi wa Maabara za Kisasa
❖ Kuhudumia mikoa ya kimadini ya Geita, Mbogwe, Kagera, Mwanza, Kahama na Shinyanga
❖Maabara nyingine kujengwa Chunya na Dodoma
📍Geita.
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Peter Mavunde, amesema ujenzi wa maabara ya kisasa ya...