wachezaji wa azam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wachezaji wa Azam wanaopaswa kuchezea Simba Msimu ujao

    Nawaomba na kuwasihi sana viongozi wa Simba, kuna mwaka tukiwabeba akina Manula, Nyoni, Bocco na Kapombe baada ya azam kushindwana nao kwenye dau , wachezaji hao waliiletea Simba heshima kubwa sana, hata hivyo matokeo ya jana azam kuliwa na Yanga yamenifanya niwashawishi viongozi wangu kufanya...
  2. MwananchiOG

    Azam FC kama mnajua hamna malengo yoyote kwanini mnang'ang'ania wachezaji bora na kukamia timu kubwa?

    Hii club binafsi nashindwa kuielewa ina malengo gani, Wachezaji bora kama Yoro diaby, Gibril Sillah, Fei toto nk. Wote wana viwango vikubwa ila hawajulikani wanapambania kitu gani, sanasana wanang'ara wanapokutana na timu za Kariakoo tofauti na hapo shughuli yao inakwisha. Timu inawachezaji...
  3. Dabil

    Azam ni timu iliyopoteza mwelekeo

    Sidhani kama Azam itabadilika tena kwasababu kila aina ya usajili wamefanya, siyo wachezaji au makocha wamesajili sana mara nyingi ila kitu ni kile kile. Timu nyingi kwenye ligi unaona mabadiliko kila mwaka zinapiga hatua ila Azam haieleweki,kwa mwenendo wa Azam naona miaka inayokuja hata...
  4. D

    Tetesi: Rachid Taoussi kuwa kocha mpya wa Azam FC

    Hizi mpya kabisa, possibly amna mtu karipoti tanzania hii : utaona chawa wana ripoti after this post , I will be short : kocha mpya huyo from Morocco anakuja na benchi lake lote la ufundi. Rachid Taoussi has managed several clubs throughout his career. Here is a list of the clubs he has...
  5. D

    Azam FC na Dabo mambo magumu sana

    I will be short. Dabo is required to make Azam fc qualify for the group stage or compete with pyramid fc at high level to satisfy the board and the owner, so as to keep his job. Reports: Fans are mad of his tactics, yielding no results. He might be fired unless proven otherwise
Back
Top Bottom