Haya ndugu zangu,
Bunge ndo hilo limeanza mmewaonaje hawa wabunge wanawake waliotokana na Uchaguzi wa 2025?
Binafsi nimemiss kuona wanawake aina ya kina Halima Mdee bungeni lakini sasa hivi naona wabunge wa sasa hivi wengi machawa
Ila ngoja tuone
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.