wabunge machawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtemi mpambalioto

    Nasubiria kuona WABUNGE MACHAWA wakisema SAMIA AONGEZEWE MIAKA MINGINE 20! Thubutuuuuuuu

    Labda kama wao hawakuzika ndugu zao ile MO29 na itafka sku tu watatoa ya moyoni kwa yanayowakuta hasa hawa wakuu wa Mkoa ambao walikubali kutumika kuua Raia majumbani mwao! Nategemea wabunge wapitishe samia aongezewe Miaka 20 ili iwe hakuna nywinywi wala nywinywinywi! ili akiua binadamu wenzie...
  2. Carlos The Jackal

    Hamna Wabunge wa Mfukoni ,Taifa haliwezi kua na Wabunge Machawa !Machawa mmepigwa!! PIGO la Kwanza 🤣🤣

    Tunawachoraaa tuuuu Taifa haliwezi kuongozwa na Machawa !!. Imeishaaaaaaaa Kwa Leo !!🤣🤣🤣
  3. Genius Man

    Sasa tumeingia kwenye siasa zisizo za kisheria tena ambapo wabunge wapo kwenye uchawa ili wachaguliwe na Rais kurudi bungeni na sio na wananchi tena

    Tumeingia kwenye siasa zisizo za kisheria tena ambapo wabunge wapo kwenye uchawa ili kumfurahisha Rais wachaguliwe na Rais kurudi bungeni na sio na wananchi; wananchi wanatekwa alafu bungeni sioni kinachoendelea. Hakuwezi kuwa na uchaguzi bila mabadiliko. Hii hali ilianza kama masihara sasa...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 John Heche: Wabunge wamegeuka machawa wa Rais. Wanalipwa Milioni 18 kwa mwezi, kwa siku Laki 6 ambazo ni Kodi zenu!

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Heche amesema kuwa Watanzania wanahitaji mfumo wa uchaguzi utakaoamua viongozi wao halali ambao watawajibika kwao huku akikemea vikali wabunge aliodai kuwa wamekuwa 'machawa' kwa kujipendekeza kwa Rais wa Tanzania Dkt...
Back
Top Bottom