Wakati serikali ya Kenya ikiwafidia Gen Z, serikali ya Tanzania inaandaa mashtaka kwa Gen Z wa Tanzania walioshiriki maandamano ya Oktoba 29.
Hii ndiyo tofati ya serikali zinazojali maisha ya uhai wake.
========================
Serikali ya Kenya imetenga shilingi bilioni mbili za Kenya kama...
Huenda shetani ndie binadamu mwenyewe haiwezekani kuua watoto wadogo kwa risasi sasa huyu mtoto kosa lake nini lbd?
Afu kuna watu wanashabikia hii serikali ya wauaji.
Samuya kaa ukijua auaye kwa upanga hufa kwa upanga pia
R.i.p dunia haina huruma najua nafsi Inalia huku ahela wanadamu...