Wakuu,
Nina maswali machache.
Tushazoea utaratibu wa taifa hili waandamanaji wanapigwa risasi kwanini hawa imekuwa tofauti?
Hao Wakatoliki walioandamana, kibali cha kuandamana walitoa wapi ?
Je wangeanzisha vurugu na "kuhatarisha" usalama wa raia wema na mali zao?
Na kwanini hatujaona...
#BREAKING: UN CALLS FOR LIFTING OF PROTEST BAN IN TANZANIA AHEAD OF DECEMBER 9
The Tanzanian government has been urged to uphold fundamental freedoms ahead of planned Independence Day protests on 9 December.
Spokesperson Seif Magango of the UN High Commissioner for Human Rights reminded...
HALI YA KISIASA NA HAKI ZA BINADAMU BAADA YA UCHAGUZI TANZANIA
Ghana imeona kwa wasiwasi mkubwa hali ya kisiasa na haki za binadamu inayoendelea kwa kasi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia uchaguzi mkuu uliofanyika hivi karibuni Jumatano, tarehe 29 Oktoba 2025.
Mazingira ya baada...
Mazishi ya Mwananchi aliyeuawa kikatili kwa kupigwa risasi na polisi yamegeuka kuwa maandamano ya sauti na hisia.
Wananchi waimba “Hizo risasi hizo” wakieleza uchungu, hasira, na wito wa uwajibikaji kwa mamlaka.
Baadhi ya wananchi wakiwapelekea Polisi maiti ya waandamanaji waliopigwa risasi wakati wa maandamano yaliyokuwa yakiendelea huku wakisema mmeua chukuweni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.