vyombo vya habari mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    GE2025 TCRA: Vyombo vya Habari vizingatie Miongozo na Kanuni za Uandishi wa Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesisitiza umuhimu wa vyombo vya habari, hususan vya mtandaoni, kuzingatia miongozo na kanuni za uandishi wa habari kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Soma pia: Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna...
  2. Cute Wife

    PreGE2025 Hii kali: Rais Samia awaagiza JUMIKITA 'kuchuja' maudhui ya mtandaoni tena katika Kongamano la Sekta ya Habari!

    Jumikita kwa wale msiyojua kirefu chake ni Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii, wanawakilisha wanahabari wote wa mtandaoni nchini. Rais Samia anawasifia na kuwaambia mwende mkachuje yanayosemwa mtandaoni watu waseime wanayoyataka na nyie mnakenua na kuinama kuonesha mnashukuru na...
Back
Top Bottom