vyama vya upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini kweli hawaoni yabayoendelea nchini kwa vyama vya upinzani hasa chadema inayopitia?

    Kila kona chadema imebanwa msajiri kila siku kutoa matamko yasiyo na tija na kusitisha ruzuku, viwanja vya mikutano imekuwa mwiba kwa chama hicho , uhamiaji kila sehemu wapo macho hawataki anayeitwa kiongozi wa chadema kuvuka mipaka ya nchi, mahakama nayo imebana kwa kuamua kesi ya chama...
  2. JamiiForums Tanzania Si vyema kuviita "vyama vya upinzani" au "chama tawala"

    Ni wazi kuwa jina "Chama Tawala" dhidi ya "Vyama vya Upinzani" , Haileti usawa katika siasa za Tanzania. Sababu ya Hoja hii ni kwamba; Majina haya huashiria maana zilizo jificha. Kwa mfano, Endapo mtu akasikia chama fulani ni "chama cha Upinzani" Hufanya chama hicho kupoteza  Ushawishi katika...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hashim Rungwe: Tukienda kwenye mikutano ya CCM wanatupa hela, tunazichukua na tutaendelea kuzichukua

    Hashim Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) akihojiwa na Edwin Odemba anasema: “Kila tukienda kwenye mikutano ya vyama vya Siasa CCM inachukua pesa za wananchi inatulipa ili ionekane nchi hii kuna demokrasia, hakuna dawa hosptalini ila pesa za kutulipa wanapata na...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae

    Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae. Katika jamii yoyote yenye misingi ya kidemokrasia, jeshi la polisi muna nafasi ya kipekee kama muhimili wa kulinda haki za watu, usalama, amani na haki za kila...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM: Wapinzani wakifa, hatuwezi kulia! Tutawatupa Mtoni, wawe chakula cha mamba

    Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani. Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea. “WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joketi apokea zaidi wanachama 100 kutoka vyama vya upinzani

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi Joketi Mwegelo amepokea baadhi ya Vijana kutoka vyama vya upinzani na kujiunga na Chama cha Mapinduzi kwenye Uzinduzi wa #samiafirsttimevoters kwenye Ukumbi wa Mikutano JNICC Posta Dar es Salaam Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Dodoma: Vyama vya upinzani havina uchumi wa kuhudumia wananchi

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amesema kuwa vyama vya upinzani havina uwezo wa kushika dola kutokana na kutokuwa na misingi imara ya kiuchumi ya kuwahudumia wananchi. Ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuiamini CCM kwa kuwa ndicho chama chenye dira ya kweli ya...
  8. JamiiForums Tanzania CCM Wanapambana kuondoa Upinzani au wanapambana kuondoa Vyama vya Upinzani!

    Kitakachotokea baada ya October 2025 kitakuwa hatari zaidi ya kilichotokea 2015 . Huu Uzi utakumbukwa na watu wote CCM inapambana kuua vyama Vya upinzani huku ikitengeneza upinzani . Yaani watasiganyana wao kwa wao na hakutatawalika trust me
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Nikiangalia Vyama vya Upinzani ni kama havipo

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaambia watanzania wapime wenyewe, wapinzani badala ya wapinzania hao kwenda kwao kuwasaidia na kuwaomba mchango, huku wakiwakejeri. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameyasema hayo, leo, Aprili 13, 2025, Lindi Mjini, katika...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya upinzani kama chadema ,kutokuwepo kwenye uchaguzi kuna athari nyingi, ambazo zinaweza kuwa na matokeo makubwa kwa mfumo wa kisiasa na jamii

    Vyama vya upinzani kutokuwepo kwenye uchaguzi kuna athari nyingi, ambazo zinaweza kuwa na matokeo makubwa kwa mfumo wa kisiasa na jamii kwa ujumla. 1. Kuimarisha Tawala za Kidemokrasia - Udikteta: Kukosekana kwa upinzani kunaweza kupelekea kuimarika kwa utawala wa kidikteta, ambapo chama...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Itakuwa aibu kubwa kwa vyama vya upinzani kwenda kusaini fomu za maadili Dodoma 12 Aprili, 2025 wakati Kiongozi mwenzao yupo Jela

    Naona tume (Huru) imetangaza kesho ni lazima vyama vyote vinavyotarajia kuingia kwenye uchaguzi vikasaini fomu za maadili ya uchaguzi.. Soma Pia: Tume, serikali na vyama vya siasa kusaini maadili ya uchaguzi Itakuwa aibu kubwa kama wakienda wakati Kiongozi mwenzao yupo ndani kwa kesi ya...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyombo vya Habari visitumike kudhoofisha vyama vya upinzani. Vitangulize weledi kwa maslahi ya umma

    Katika siasa za Tanzania, vyombo vya habari vina nafasi kubwa ya kuathiri mitazamo ya wananchi. CCM imekuwa na ushawishi mkubwa juu ya baadhi ya vyombo hivyo, hali inayodhoofisha upinzani. Kwa mfano, vyombo vingi vinatangaza mafanikio ya CCM huku vikifunika au kupotosha taarifa za wapinzani...
  13. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Nchimbi apokelewa kwa shangwe, vyama vya upinzani vyamiminika CCM ili kupata fursa ya kushiriki uchaguzi 2025

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, mkoani Ruvuma imeanza kwa kishindo, huku mamia ya wanachama wa vyama vya upinzani wakihama na kujiunga na CCM. Katika mkutano wa hadhara uliofanyika Jumatano, 2 Aprili 2025, katika Uwanja wa Shule ya Msingi...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali na CCM Iviaibishe Vyama Vya Upinzani Kwa Kufanya Mabadiliko Ya Msingi Kwenye Sheria Za Uchaguzi, Kama Huwa Inashinda Kwa Haki.

    CHADEMA katika kampeni yake ya NO REFORM NO ELECTION, haitafuti upendeleo bali inatafuta haki na ulinzi wa thamani ya kura. Hivi CCM kama huwa inashinda kwa haki, si ndiyo ungekuwa muda sahihi kukubali mapendekezo yote yatakayoufanya mchakato wa uchaguzi kuwa huru, wa haki na wa uwazi ili...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baadhi ya vyama vya upinzani vyasifu Demokrasia kuimarika awamu ya sita

    Mwenyekiti wa Chama cha AdaTadea na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania, Juma Ali Khatib. WADAU wa siasa wakiwemo viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuimarisha demokrasia. Mwenyekiti wa Chama cha AdaTadea na Mwenyekiti wa Baraza la...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Kagera: Wananchi wa Kata ya Kibingo acheni tabia ya kuwachagua viongozi wa vyama vya upinzani

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Ndg. Faris Buruhani, amewataka wananchi wa Kata ya Kibingo, Wilaya ya Kyerwa, kuacha tabia ya kuwachagua viongozi wa vyama vya upinzani na badala yake waendelee kuiunga mkono CCM. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CUF, NCCR Mageuzi na ACT Wazalendo ndio vyama vya upinzani vilivyo tayari kuikabili CCM kwenye Uchaguzi Mkuu

    Kwa namna ya pekee sana, Chadema wameamua kujimaliza wenyewe kwa kujiengua na kususia uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na kukwepa kisayansi aibu ya kushindwa vibaya sana na chama Tawala CCM. Hali hiyo inamaanisha kwamba, vyama vya CUF, NCCR MAGEUZI, ACT-Wazalendo na vyama vingine vya...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Lipumba: Tumeshajeruhiwa na Muungano wa Vyama vya Upinzani

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema kuwa maridhiano ndani ya vyama vya upinzani yamekuwa yakileta madhara na kuwajeruhi, na kwamba wamejifunza kutokana na yaliyotokea kipindi cha nyuma. Akizungumza na Wanahabari Lipumba amesema kuwa kuna watu wanaotafuta...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Vyombo vya Habari havitendi haki kwa Vyama vya upinzani, vyote vinakuwa vya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) amesema Vyombo vya Habari vyote nchini havitendi haki katika kuripoti masula ya Uchaguzi kwa vyama vikuu vya upinzani. Soma: Hali ya Vyombo vya...
  20. JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani, unganeni na CHADEMA , Waachieni CCM uchaguzi wao wenyewe , unganeni kupigania Hatima yenu ya Sasa na Baadae !!

    Ninawahakikishia, Siku mtakayotoa Kauli Moja tu ya kwamba, HAMTASHIRIKI UCHAGUZI WOTE BILA MABADILIKO , mchakato waabadiliko hayo utaanza mara Moja . Waachieni CCM uchaguzi wao, wajifanyie Kampeni wao, wajichague wenyewe !!. Achanane na Hadaa za muda mfupi za CCM , kwamba zitakupa Ruzuku ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…