Wakuu,
Akizungumza kwenye msiba wa Kardinali Pengo Emmanuel Nchimbi Makamu wacRais wa Tanzania amesema yeye masuala ya kugombana kwa vyama anaona ni mambo ya kijinga
Wakuu,
Tayari Katibu mpya wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Kenani Kihongosi ameanza kufanya kazi
-----------
Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajiwa kuanza kampeni za kuwania nafasi ya Urais ,Ubunge na Udiwani siku ya kesho huku chama hicho kikisisitiza kitafanya kampeni za kisataarabu...