vyama vingi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nchi za kijamaa (communist) na siasa za vyama vingi huwa haviivi

    Duniani leo nchi za kijamaa (communism) zimebaki chache sana. Imebaki China, Vietnam, Cuba, Tanzania na zingine mbili tatu. Mtu anayesema Tanzania siyo nchi ya kijamaa anakuwa anakosea sana. CCM chama kinachoongoza nchi yetu ni chama cha kijamaa. Katiba yetu inasema hivyo, na hata sheria na...
  2. JamiiForums Tanzania Kwenye chaka la vyama vingi kumejaa nguchiro wengi, kuwa makini

    Hata tufanyeje lazima tufanane na wazungu kwenye siasa za vyama vingi. Aina hii ya siasa ililetwa kwetu na wazungu kwakuwa wana kazi nayo, lakini vyama na wanasiasa waliopigania uhuru waliikubali aina hii ya siasa kwa shingo upande kwa kulazimishwa. Wakati wazungu wanaileta kwetu aina hii ya...
  3. JamiiForums Tanzania Demokrasia: Mbowe na Lipumba washauriwe wapishe na ziingie fikra mpya kwenye Siasa za Vyama vingi

    Friends and Enemies, Muda unakimbia Sana,mwaka 1992 tulipoingia kwenye vyama vingi na kuanza kwa uchaguz wa kwanza wa vyama vingi 1995,unaweza dhan kama ni majuz tuh,lakin ni miaka zaid ya ya miaka 26 hizi sura z hawa wanaojiita wapigania demokrasia ndan ya nchi hii hazijawahi kubadilika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…