vurugu chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MIMI BABA YENU

    PreGE2025 Kikao cha watia nia CHADEMA Ikungi-Singida chavunjika, vurugu zarindima

    Kikao cha watia nia CHADEMA kimevunjika baada ya mmoja wao kunaswa akirekodi kwa siri. Vurugu zikaibuka, wajumbe wakarushiana viti na kushambuliana, hali iliyosababisha damu kumwagika. Taarifa zisizo rasmi zinadai kuwa mtu mmoja amepoteza maisha. Ikungi singida.
  2. Waufukweni

    PreGE2025 UWT yashangaa ukimya wa BAWACHA sakata la mwenezi wao kushambuliwa

    Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa imeonesha kushangazwa na kitendo cha Baraza la Wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) kutokutoa kauli yoyote baada ya Katibu Mwenezi wa BAWACHA Taifa, Sigrada Mligo (34), kushambuliwa kimwili. Ikumbukwe kuwa, tarehe 25 Machi...
  3. PendoLyimo

    PreGE2025 Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

    Katika kile kinachoonekana kama mgawanyiko unaokua ndani ya CHADEMA, taarifa za kuaminika zinaeleza kuwa Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Siglad, alipigwa na walinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche. Tukio hilo lilitokea usiku wa jana mkoani Njombe, katika...
Back
Top Bottom