Kipa mkongwe wa Cape Verde, Vozinha (40), aliokoa michomo 7, ikiwemo 6 ya ndani ya boksi, na kuwa shujaa na kuisaidia timu yake kutoka sare ya 0-0 dhidi ya mabingwa wa Ulaya, Uhispania, katika mchezo wa Kundi H wa Kombe la Dunia 2026. Matokeo hayo yameifanya Cape Verde kupata pointi yake ya...