"Mwenye Ku- mobilize alikuwa ni Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati huo tunajenga CCM Kirumba, Mwanza nilikuwa wilaya ya Kwimba.
"Tuligawana kila wilaya itafute wadau na Chama kitafute watu kwa ajili ya ujenzi. Tulianza kuchangia. Tulifanya kampeni tulizunguka wilaya nzima. Watu walichangia...