Miradi mipya Kigamboni – Puna inapatikana kuanzia milioni 3 kwa kiwanja cha 20*20 meters, yaani sqm 400. Viwanja vinapatikana kuanzia ukubwa wa sqm 400 hadi 2000.
Puna Beach Plots Kigamboni ipo umbali wa km 38 kutoka Ferry, km 35 kutoka Daraja la Nyerere, mita 500 kutoka barabara kuu na mita...