Wakuu habari zenu,
kijana mwenzenu hali sio shwari tena wakuu Jaazi linaelekea kuzama, nilikuwa naomba kwa yeyote yule mwenye mchongo wowote ule wa kuingiza kipato halali naomba aniunganishe.
Na kama kuna mtu anaefanya kazi kiwandani au anajua kiwanda kinachotoa Ajira kwa sasa naomba msaada...