vituo vya watoto yatima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania kuna watoto wanaolelewa kwenye vituo vya yatima mpaka utu uzima wa kujitegemea?

    Msichana amelelewa kituo Cha watoto yatima mahari unalipa Kwa nani?
  2. Mnaoenda kwenye vituo vya watoto Yatima ili kuombewa dua, mnawafanyia ukatili na unyanyasaji hao watoto

    " Aisee ndugu yangu ukitaka jambo Lako liende wewe nenda kafanyiwe Dua na watoto yatima. Yani majibu ni papo kwa papo. Dua zao Mungu anazipokea hapo hapo " Hayo si maneno yangu, bali ni maneno ya MTU mmoja mvivu wa kufikiri na mkwepa majukumu. Uliongea na Mungu Lini akakwambia huwa anapokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…