vituo vya polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania LHRC: Kuna idadi kubwa ya watu wanaoendelea kukamatwa na kushikiliwa katika vituo vya Polisi bila dhamana au kupelekwa Mahakamani

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani vikali hali ya kuendelea kushikiliwa kwa wananchi mbalimbali katika vituo vya Polisi nchini kwa muda mrefu bila kupatiwa dhamana au kufikishwa Mahakamani, licha ya baadhi yao kukabiliwa na tuhuma zinazoruhusu dhamana kwa mujibu wa sheria...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Vituo vya polisi Tanzania kukataza parking magari ya wananchi/wateja

    Kwenye vituo vyetu vya polisi siku hizi kumekua na tabia ya kukataliwa kupark/kuegesha gari eneo la maegesho. Eneo lina nafasi ya kutosha hakuna magari ila unaambiwa hapa hauruhusiwi kupaki. Sasa mwananchi ameenda kituoni kupata huduma anakatiliwa kuegesha gari hii haijakaa sawa. Mbaya zaidi...
  3. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa anadai watu 80 wamekamatwa na wapo vituo vya polisi. Kama wana hatia kwa nini zaidi ya masaa 24 hawajapelekwa mahakamani?

    Msigwa amejitapa kuwa dunia ya sasa ipo juu kiteknolojia. Ndio maana waliomkamata wametiwa mbaroni na polisi. Haya sasa hivi ni zaidi ya masaa 24 kwq nini hawajap3lekwa mahakamani kwa mujipu wa sheria? Kama hawana hatia waaachiwe.
  4. JamiiForums Tanzania Ethiopia wameanzisha vituo vya Polisi vya kidigitali, unatoa taarifa moja moja bila kuonana na Polisi

    Ukienda Polisi kutoa Taarifa hukuti Afisa wa Polisi kwenye meza ya mapokezi, hukuti makaratasi bali unakuta vifaa vya kidigitali pekee. Ni vituo janja vya polisi ambapo mtu anaweza kutoa taarifa yeye mwenye moja moja kwa kuweka taarifa hiyo kwenye vifaa janja na Polisi kupokea taarifa na kujibu...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Vituo vya Polisi 159 vilichomwa moto

    Leo waziri mkuu ameeleza takwimu ya sehemu ya hasara iliyopatikana tarehe 29 October kuwa ni Vituo 159 vya polisi, magari binafsi 1600, vituo vy mafuta 600, magari ya serikali 1200 ambulance 200 nyumba binafsi nyingi walijaribu kuchoma TCRA, Tanesco, ghala za mafuta kurasini , bandari ...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu: Vituo vya Polisi vilivyochomwa ni mali ya Watanzania wala si Polisi

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa uharibifu wa miundombinu iliyotokea siku na baada ya vurugu za Oktoba 29, 2025 unapaswa kuwa funzo kwa taifa, akibainisha kwamba miundombinu hiyo si mali ya serikali bali ni matokeo ya jasho, kodi na kujinyima kwa wananchi wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…